“MALIZENI MWAKA BILA MADENI YA KODI” CG MWENDA
::::::::: Walipakodi nchini wametakiwa kutimiza wajibu wao wa kulipa kodi ya mapato awamu ya nne na kuwasilisha ritani za kodi ya ongezeko la thamani kwa wakati ili wamalize mwaka 2025 bila madeni ya kodi hali ambayo itawaepushia riba na adhabu. Rai hiyo imetolewa Desemba 12.2025 na Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Bw….