December 15, 2025
Katibu Mkuu Umoja wa Mataifa, Antonio Guterres Atuma Ujumbe Kwa Rais Samia
Katibu Mkuu Umoja wa Mataifa, Antonio Guterres Atuma Ujumbe Kwa Rais Samia – Global Publishers Home Habari Katibu Mkuu Umoja wa Mataifa, Antonio Guterres Atuma Ujumbe Kwa Rais Samia
Simba kunafukuta… Waarabu watia mkono
WAKATI hatima ya kiungo mshambuliaji wa Simba, Jean Charles Ahoua aliyemaliza kinara wa mabao wa klabu na Ligi Kuu Bara msimu uliopita akifunga 16, ikiwa haijaeleweka kikosini humo, taarifa mpya kutoka Morocco zinaeleza matajiri wa Kiarabu wameanza kumpigia hesabu kumvuta. Ahoua ambaye ameshindwa kuendeleza makali aliyokuwa nayo msimu uliopita akiwa hana namba ya kudumu katika…
Mzize atibua mipango Yanga, viongozi wakuna vichwa
KIKOSI cha Yanga bado kipo mapumziko kupisha fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika (Afcon) 2025 zinazoanza wikiendi hii huko Morocco, lakini kuna hesabu mpya ndani ya timu hiyo zinapigwa sasa ambazo zimelazimika kubadilishwa kutokana na maendeleo ya straika Clement Mzize. Mzize yupo nje ya uwanja kwa muda mrefu kutokana na kuumia, japo hivi karibuni…