MAKAMU WA RAIS AKIWASILI SONGEA MKOA NI RUVUMA

…………

Makamu wa
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi
akiwasili katika Uwanja wa Ndege wa Songea mkoani Ruvuma leo tarehe 15 Desemba
2025. Makamu wa Rais anatarajia kushiriki mazishi ya aliyekuwa Mbunge wa Jimbo
la Peramiho, Marehemu Jenista Joakim Mhagama, yatakayofanyika katika Kijiji cha
Ruanda mkoani Ruvuma tarehe 16 Desemba 2025.