RAIS DKT SAMIA AAGANA NA BALOZI WA KENYA ANAEMALIZA MUDA WAKE NCHINI TANZANIA

 


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Balozi wa Kenya anayemaliza muda wake nchini Tanzania, Mhe. Isaac Njenga, Ikulu Dar es Salaam, tarehe 17 Desemba, 2025.

Balozi Njenga alifika Ikulu kumuaga Rais Dkt. Samia baada ya kumaliza muda wake wa utumishi nchini, ambapo pamoja na mambo mengine walijadili 

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, akiwa katika picha ya pamoja na Balozi wa Kenya anayemaliza muda wake nchini, Mhe. Isaac Njenga, Ikulu Dar es Salaam, tarehe 17 Desemba, 2025.