Adhabu za Ligi Kuu Bara zaibua maswali

KUNA maswali mengi yameibuka baada ya Kamati ya Uendeshaji na Usimamizi wa Ligi ya Bodi ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB) katika kikao chake cha Desemba 15, 2025 ilipopitia mwenendo na matukio mbalimbali ya Ligi na kufanya uamuzi uliopokewa kwa mitazamo tofauti. Miongoni mwa maswali yaliyoibuka ni kutokana na adhabu za kuwafungia wachezaji mechi tano kwa…

Read More

Msako wa Straika, wanne wapo mezani Yanga

DIRISHA dogo la usajili lipo njiani kufunguliwa mapema mwakni, huku Yanga ikiwa haijakaa kinyonge ikipanga kuongeza mashine moja ya maana eneo la ushambuliaji na hivi unavyosoma tayari kuna majina manne mezani kwa mabosi wa klabu hiyo wakipiga hesabu waondoke na nani kati yao. Kocha timu hiyo, Pedro Goncalves ameutaka uongozi kumletea mashine hiyo ya kuongeza…

Read More