Umuhimu wa kuvaa viatu kwa wenye ugonjwa wa kisukari
Tabia ya kutovaa viatu kwa wenye kisukari ni hatari kwasababu naweza kusababisha madhara ma-kubwa kwenye miguu, ambayo mara nyingine inaweza kuleta matatizo sugu ikiwa hayatachukuliwa tahadhari mapema na kuleta ulemavu wa miguu. Watu wenye kisukari wapo katika hatari kubwa ya kupata vidonda vya miguu kwa sababu kama mgonjwa atashindwa kabisa kudhibiti viwango vya sukari kwa…