JE, unajua kuwa sehemu pekee ya wewe kutimiza ndoto zako ni Meridianbet pekee?. Tandika jamvi lako sasa na unanze safari yako ya kufanikiwa kimaisha kwani kwa dau dogo tuu unaibuka Milionea.
Tottenham Spurs wataumana dhidi ya Liverpool ambao msimu huu umekuwa mbovu kwao lakini bado wanajikokota kwenye ligi. Kila timu inahitaji ushindi siku ya leo huku mechi hii ikiwa na ODDS KUBWA Meridianbet. Je nani kuondoka kifua mbele hapa?. Tengeneza jamvi hapa.
Vilevile ligi kuu ya Ujerumani, BUNDESLIGA itaendelea ambapo FC Cologne ataumana dhidi ya Union Berlin ambapo tofauti ya pointi kati yao hadi sasa ni 1 pekee. Je nani unampa pesa yako leo akupatia mzigo wa kutosha?. Tandika jamvi hapa.
Nao Wolfsburg atakuwa nyumbani kupepetana dhidi ya Freiburg ambapo mechi ya mwisho kukutana timu hizi mbili kwenye mechi zote mbili, mwenyeji alipasuka hivyo leo hii anataka kulipa kisasi. Machaguo zaidi ya 1000 yapo hapa. Bashiri sasa.
LALIGA kule Hispania kama kawaida kuna mechi za pesa Real Oviedo atakuwa nyumbani kukipiga dhidi ya Celta Vigo huku tofauti ya pointi kati yao ikiwa ni 9 pekee. Meridianbet inakwambia hivi ingia kwenye akaunti yako na uanze safari ya kutusua hapa.
Vijana wa Xabi Alonso, Real Madrid watakuwa Santiago Bernabeu kukiwasha dhidi ya Sevilla ambao mpaka sasa wapo nafasi ya 13 huku wenyeji wao wakiwa nafasi ya 2. Real wapo kwenye mbio za ubingwa na ushindi huu ni muhimu sana kwao. ODDS KUBWA zipo hapa. Bashiri sasa.