Usimweleze mwanamke mambo haya | Mwananchi

Dar es Salaam. Kuna baadhi ya mambo ambayo,kwa kawaida, hayapaswi kusemwa na mwanaume kwa mpenzi wake wa kike. Haya ni maneno au maswali ambayo yanaweza kuathiri uhusiano na kumfanya mpenzi wako ajihisi vibaya, au hata kupoteza mvuto wako kwake. Kwanza kabisa, sio jambo jema kuomba kibali cha busu kwa mpenzi wako wa kike. Wanawake wengi…

Read More

Wanawake wasomi na kitendawili cha ndoa

Canada. Kuna swali huwa linatushughulisha kama wazazi na wanandoa. Je, inakuwaje baadhi ya wanandoa hufanikisha mambo yanayowashinda wengi katika maisha ya ndoa? Tutaanza na mfano wa Malkia wa Uingereza marehemu Elizabeth (21 Aprili 1926 – 8 Septemba 2022). Pamoja na matatizo ya hapa na pale, malkia alibainisha kuwa inawezekana kufanikiwa kimaisha na katika ndoa jambo…

Read More

Matunda 5 Yanayosaidia Kuimarisha Afya ya Figo

Last updated Dec 20, 2025 Lishe sahihi ina mchango mkubwa katika kulinda na kuboresha afya ya figo. Kwa mujibu wa wataalamu wa lishe, uchaguzi wa matunda sahihi unaweza kusaidia kupunguza mzigo kwa figo, hasa kwa watu wenye matatizo ya figo au wanaoishi na ugonjwa wa figo sugu (CKD). Akizungumza kuhusu umuhimu wa lishe, Dkt….

Read More

Barker ashusha nondo tatu Msimbazi

YAMETIMIA. Simba SC juzi Ijumaa ilimtambulisha Steve Barker kuwa kocha mpya wa kikosi hicho, hatua inayofungua rasmi ukurasa mpya wa benchi la ufundi la timu hiyo, huku mwenyewe akishusha nondo tatu zitakazomuongoza katika majukumu yake mapya. Uamuzi wa Simba kumkabidhi Barker mikoba ya Dimitar Pantev unakuja katika kipindi ambacho klabu hiyo inapitia presha kubwa ya…

Read More