Siku 10 kabla usajili kufunguliwa, Msauzi Simba afanya uamuzi mgumu
WAKATI mwenyewe akiwa njiani kuja Tanzania ili kuanza kuinoa Simba, inadaiwa kuwa ujio wa kocha mkuu mpya, Steve Barker umezuia panga lililokuwa lipite kwa mastaa wa timu hiyo hadi kwanza awaone wachezaji wote kupitia michuano ya Kombe la Mapinduzi inayoanza Desemba 28. Simba ilimtambulisha rasmi kocha huyo wa zamani wa Stellenbosch ya Afrika Kusini kuja…