Ulimwengu mnamo 2025 – Masuala ya Ulimwenguni

Maoni na Farhana Haque Rahman (Toronto, Kanada) Jumatatu, Desemba 22, 2025 Inter Press Service TORONTO, Kanada, Desemba 22 (IPS) – “Mwingi wa mwaka” wetu wa kitamaduni kwa kawaida huanza na orodha mbaya ya majanga na migogoro ya dunia katika kipindi cha miezi 12 iliyopita, inaangazia washirika na wachangiaji wa IPS na kuhitimishwa na tamati yenye…

Read More

TRA United yamng’ang’ania Denis Nkane

MABOSI wa TRA United bado hawajakata tamaa juu ya kumnasa winga Denis Nkane anayeitumikia Yanga, baada ya sasa kuwasilisha maombi rasmi ya kutaka iwepe mchezahi huyo. TRA inayojiandaa kushiriki michuano ya Kombe la Mapinduzi 2026 kwa mara ya kwanza itakayoanza Desemba 28 visiwani Zanzibar, ilisema imewasilisha ombi kwa Yanga ili wazungumze juu ya kumpata Nkane…

Read More

Rushine akiri kutimka kwa Fadlu kumemtikisa

BEKI wa kimataifa wa Afrika Kusini, Rushine De Reuck, amekiri kuondoka kwa kocha Fadlu Davids ndani ya Simba kumempa wakati mgumu yeye na Neo Maema aliyowavuta Msimbazi. Rushine amesema imekuwa ngumu kwake pamoja naMaema kufuatia kuondoka kwa Fadlu aliyewasilia msimu huu kabla ya kurejea Raja Casablanca. De Reuck na Maema walijiunga na Simba mwanzoni mwa…

Read More

Taifa Stars inavyosaka rekodi kibao kwa Nigeria AFCON 2025

TANGU yalipotangazwa makundi ya michuano ya Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) 2025 iliyoanza juzi huko Morocco, mashabiki na wapenzi wa soka nchini wamekuwa na kihoro kwa timu ya taifa, Taifa Stars wakiamini imepangwa kundi la kifo. Uwepo wa Nigeria, Tunisia na Uganda, kumewafanya mashabiki kuwa na presha mapema, lakini unaambiwa sasa, Kocha Miguel Gamondi…

Read More