MAKAMU WA RAIS ASHIRIKI MISA TAKATIFU YA KRISMASI

 

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi, ameungana na Waumini mbalimbali katika Adhimisho la Misa Takatifu ya Sherehe ya Noeli (Krismasi), iliyofanyika katika Kanisa Katoliki Parokia ya Mtakatifu Petro, Osterbay Jijini Dar es Salaam. Tarehe 25 Desemba 2025.