Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba akizungumza na baadhi ya wafanyabiashara wa soko la Bunju B, Jijini Dar es Salaam, alipofanya ziara na kukagua maendeleo ya ujenzi wa soko hilo pamoja na ujenzi wa Kituo cha Mabasi, leo Desemba 29, 2025.
WAZIRI MKUU AKAGUA SOKO NA KITUO CHA MABASI BUNJU


