MBUNGE CHATO AFICHUA ALIVYOTAPELIWA KEKUNDU KA PESAhi

…………. CHATO KATIKA hali isiyokuwa ya kawaida Mbunge wa Jimbo la Chato Kusini, Pascal Lukas Lutandula, amefichua jinsi alivyotapeliwa pesa za mama yake mzazi baada ya kucheza kamari ambayo ni maarufu kwa jina la kekundu ka pesa. Pasipo kutaja kiwango cha fedha zilizoliwa katika mchezo huo, amewakubusha jinsi anavyozifahamu shida zao na jinsi alivyojiandaa kuzitatua…

Read More