Winga Mghana anukia Dodoma Jiji
DODOMA Jiji iko katika hatua za mwisho za kukamilisha usajili wa aliyekuwa kiungo mshambuliaji wa Coastal Union, Mghana Dennis Modzaka baada ya kikosi hicho na nyota husika kufikia makubaliano. Taarifa kutoka ndani ya timu hiyo zilizonaswa na Mwanaspoti zinadai Modzaka kwa sasa anakaribia kujiunga na kikosi hicho katika dirisha dogo la Januari 2026, ambapo mchakato…