WAZIRI AWESO, RC CHALAMILA NA WAKUU WA MIKOA WAWILI MGUU KWA MGUU BWAWA LA KIDUNDA
Waziri wa Maji Mhe Jumaa Aweso leo Disemba 16, 2025 akiwa ameambatana na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe Albert Chalamila, Mkuu wa Mkoa wa Pwani na Mkuu wa Mkoa wa Morogoro wametembelea na kukagua maendeleo ya ujenzi wa bwawa kubwa la kisasa la maji la Kidunda ambalo kwa sasa ujenzi wake umefikia…