Ulimwengu akumbushia sakata lake, Balozi Bandora kuvuliwa uraia
Dar es Salaam. Mwandishi wa habari mkongwe nchini, Jenerali Ulimwengu amekumbushia namna yeye na wenzake wanne, akiwemo Balozi Timothy Bandora, walivyovuliwa uraia wa Tanzania na utawala wa awamu ya tatu. Ulimwengu amesema hayo leo Desemba 16, 2025 wakati wa mazishi ya mwanadiplomasia mkongwe nchini, Balozi Bandora ambayo yamefanyika jijini Dar es Salaam. Bandora alifariki dunia…