Jifunze mambo haya ukiwa bado shule au chuoni
Dar es Salaam. “Mtaani” au “duniani” kama maneno yasiyo rasmi yanayotumika kumaanisha maisha baada ya shule au chuo, hufikiriwa kama mahali pa mtu kusubiri kuelekezwa nini cha kufanya. Ukweli ni tofauti. Dunia ni uwanja wa kutumia elimu yako kutatua matatizo ya jamii, siyo kusubiri maagizo. Iwe utaamua kujiajiri au kuajiriwa, kuna sifa ambazo ni za…