ALUMANUS AWATAKA WADAU MBOZI KUHAMASISHA MICHEZO/ACHANGIA MIPIRA SHULE YA MSINGI WASA
::::::::::: Wadau wa michezo wamehamasishwa kuendelea kuunga mkono sera ya michezo mashuleni hususani katika maeneo ya vijijini ili kuhakikisha kuwa wanafunzi wanajifunza kwa nadharia na vilevile wanapata muda wa kufanya michezo ili kuibua vipaji na kuimarisha afya zao Rai hiyo imetolewa Wilayani Mbozi mkoani Songwe na Julius Mkwesera wakati akikabidhi mipira miwili kwa niaba ya…