DKT. MWAMBA ATEMBELEA JENGO JIPYA LA OFISI ZA WIZARA YA FEDHA.
Katibu Mkuu Wizara ya Fedha, Dkt. Natu El-Maamry Mwamba, akisikiliza taarifa ya utekelezaji kutoka kwa Msimamizi wa Mradi, Bw. Hija Mrutu, wakati akikagua maendeleo ya ujenzi wa jengo jipya la Ofisi za Wizara ya Fedha, lililopo Mji wa Serikali-Mtumba, mkoani Dodoma. Katibu Mkuu Wizara ya Fedha, Dkt. Natu El-Maamry Mwamba, akiongozwa na Msimamizi wa…