MBUNGE LUTANDULA AANZA KAZI KWA KUTUMIZA AHADI YA UJENZI WA SHULE
……………… CHATO MBUNGE wa Jimbo la Chato kusini Paschal Lutandula, ameanza kutekeleza ahadi zake kwa wananchi baada ya kukabidhi bando saba za bati kwaajili ya ukamilishaji wa jengo la utawala kwenye shule ya Sekondari Nyantimba. Hatua hiyo inakusudiwa kupunguza adha ya wanafunzi kutembea umbali mrefu wa takribani km 6 kutoka kijijini hapo hadi kufika ilipo…