DKT. MWAMBA ATEMBELEA JENGO JIPYA LA OFISI ZA WIZARA YA FEDHA,ATOA NENO.
Na. Saidina Msangi, WF, Dodoma. Katibu Mkuu Wizara ya Fedha, Dkt. Natu El-Maamry Mwamba, ametembelea Jengo jipya la Ofisi za Wizara ya Fedha, lililopo Mji wa Serikali-Mtumba, mkoani Dodoma, ambapo amepongeza hatua iliyofikiwa katika ujenzi wa jengo hilo la kisasa linalotarajiwa kuwa ‘State of the Art’. Dkt. Mwamba aliongozwa na Mkurugenzi wa Idara ya Utawala…