Malindi upepo umekata visiwani | Mwanaspoti
ULE upepo mzuri ilioanza nao Malindi katika Ligi Kuu Zanzibar (ZPL), umekata baada ya kucheza mechi saba mfululizo sawa na dakika 630 bila kuonja ushindi, huku ikielezwa tatizo ni kutimuliwa kwa makocha wasaidizi wawili kikosini. Mabingwa hao wa zamani wa Tanzania na moja ya timu zilizowahi kutamba katika michuano ya CAF miaka ya 1990, walianza…