MAKAMU WA RAIS DKT NCHIMBI ASHIRIKI MKUTANO WA ‘SADC ORGAN TROIKA’ KWA NJIA YA MTANDAO
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi ameshiriki Mkutano wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Utatu wa Asasi ya Siasa, Ulinzi na Usalama (SADC Organ Troika) uliofanyika kwa njia ya mtandao akiwa Bukoba mkoani Kagera leo tarehe 15 Desemba 2025. Mkutano huo umejadiili hatua zinazoendelea kuchukuliwa na Jumuiya…