Vumbi Kuendelea Leo: Mechi Kibao Kutikisa Ligi Kuu za Ulaya
Vumbi Kuendelea Leo: Mechi Kibao Kutikisa Ligi Kuu za Ulaya – Global Publishers Home Michezo Vumbi Kuendelea Leo: Mechi Kibao Kutikisa Ligi Kuu za Ulaya
Vumbi Kuendelea Leo: Mechi Kibao Kutikisa Ligi Kuu za Ulaya – Global Publishers Home Michezo Vumbi Kuendelea Leo: Mechi Kibao Kutikisa Ligi Kuu za Ulaya
Waziri Mkuu Nchemba Awali Songea Kushiriki Ibada ya Heshima za Mwisho Jenista Mhagama Peramiho – Global Publishers Home Habari Waziri Mkuu Nchemba Awali Songea Kushiriki Ibada ya Heshima za Mwisho Jenista Mhagama Peramiho
Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba leo Desemba 15,2025 amewasili mjini Songea mkoani Ruvuma,ambako atashiriki Ibada ya kutoa heshima za mwisho kwa marehemu Jenista Mhagama aliyekuwa Mbunge wa Peramiho na Waziri Mstaafu, inayofanyika katika Kanisa Katoliki Peramiho. Jenista Mhagama alifariki Desemba 11, 2025 kwa maradhi ya moyo.
Mkuu wa kitengo cha Mifumo Mbadala ya Kidijitali wa Benki ya Exim Bw. Silas Matoi, akizungumza na mmoja wa washindi wakati wa droo ya kwanza ya kampeni ya Chanja Kijanja, Dili ndio hili iliyofanyika mwishoni mwa wiki iliyopita. Kupitia kampeni hii, wateja wanaotumia kadi za Exim kulipia bidhaa au huduma wanapata nafasi ya kushinda zawadi…
Naibu Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Mhe. Wanu Hafidh Ameir, amemtaka Mkandarasi wa COMFIX & ENGINEERING kuongeza kasi ya ujenzi wa miundombinu ya Mradi wa Kujenga Ujuzi na Ushirikiano Afika Mashariki (EASTRIP ) katika Taasisi ya Teknolojia Dar es Salaam (DIT) Kampasi ya Mwanza, ili ikamilike kwa wakati kulingana na maktaba. Naibu Waziri huyo,…
Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Antonio Guterres amesema Tanzania imeendelea kuwa kielelezo cha amani na mshikamano wa kijamii barani Afrika na Duniani, akisisitiza kuwa dunia inalitazama Taifa hilo kama mfano wa kuigwa. Guterres ameyasema Desemba 14,2025, alipokuwa akipokea ujumbe maalumu wa Tanzania uliotoka kwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan na kuwasilishwa na Waziri wa…
Mh.Balozi Dkt.Nchimbi Mgeni Rasmi Uwekaji Jiwe La Msingi La Ujenzi Wa Kampasi Ya Chuo Kikuu Cha Dar-es-Salaam Kagera – Global Publishers Home Habari Mh.Balozi Dkt.Nchimbi Mgeni Rasmi Uwekaji Jiwe La Msingi La Ujenzi Wa Kampasi Ya Chuo Kikuu Cha Dar-es-Salaam Kagera…
Dar es Salaam. Licha ya hatua na marufuku zilizowahi kutolewa na Serikali dhidi ya rushwa barabarani, vitendo hivyo vimeendelea kuota mizizi kwa askari wa usalama barabarani na madereva. Madereva wa magari hasa ya biashara wanakiri kutoa rushwa kwa askari hao wakisema imeshageuka kuwa mfumo wa maisha ya kazi yao na kuna athari ukiiepuka kuliko kujihusisha…
Dar es Salaam. Hatua ya Serikali kuzima Intaneti kwa siku saba kuanzia Oktoba 29, 2025 inazidi kupingwa baada ya Chama cha Wanasheria wa Tanganyika (TLS) na wanaharakati wamefungua kesi ya kikatiba Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam. Hii inakuwa kesi ya pili baada ile iliyofunguliwa na Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC)…
Dar es Salaam. Mahakama ya Hakimu Mkazi, Dar es Salaam, Kisutu, leo Jumatatu, Desemba 15, 2025 inasikiliza shauri la maombi ya dhamana ya waziri wa zamani, Geofrey Mwambe anayeshikiliwa na Jeshi la Polisi, Dar es Salaam. Mwambe ambaye amewahi kuwa mkurugenzi wa Kituo cha Uwekezaji (TIC), mbunge wa Masasi, Mtwara (CCM), Waziri wa Nchi Ofisi…