Watanzania Tunzeni Akiba Ya Chakula: Waziri Mkuu
Watanzania Tunzeni Akiba Ya Chakula: Waziri Mkuu – Global Publishers Home Habari Watanzania Tunzeni Akiba Ya Chakula: Waziri Mkuu
Watanzania Tunzeni Akiba Ya Chakula: Waziri Mkuu – Global Publishers Home Habari Watanzania Tunzeni Akiba Ya Chakula: Waziri Mkuu
Katibu Mkuu Umoja wa Mataifa, Antonio Guterres Atuma Ujumbe Kwa Rais Samia – Global Publishers Home Habari Katibu Mkuu Umoja wa Mataifa, Antonio Guterres Atuma Ujumbe Kwa Rais Samia
WAKATI hatima ya kiungo mshambuliaji wa Simba, Jean Charles Ahoua aliyemaliza kinara wa mabao wa klabu na Ligi Kuu Bara msimu uliopita akifunga 16, ikiwa haijaeleweka kikosini humo, taarifa mpya kutoka Morocco zinaeleza matajiri wa Kiarabu wameanza kumpigia hesabu kumvuta. Ahoua ambaye ameshindwa kuendeleza makali aliyokuwa nayo msimu uliopita akiwa hana namba ya kudumu katika…
KIKOSI cha Yanga bado kipo mapumziko kupisha fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika (Afcon) 2025 zinazoanza wikiendi hii huko Morocco, lakini kuna hesabu mpya ndani ya timu hiyo zinapigwa sasa ambazo zimelazimika kubadilishwa kutokana na maendeleo ya straika Clement Mzize. Mzize yupo nje ya uwanja kwa muda mrefu kutokana na kuumia, japo hivi karibuni…
::::::::: Walipakodi nchini wametakiwa kutimiza wajibu wao wa kulipa kodi ya mapato awamu ya nne na kuwasilisha ritani za kodi ya ongezeko la thamani kwa wakati ili wamalize mwaka 2025 bila madeni ya kodi hali ambayo itawaepushia riba na adhabu. Rai hiyo imetolewa Desemba 12.2025 na Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Bw….
Mkuu wa Wilaya ya Ubungo (DC), Mheshimiwa Abert Msando ametembelea na kukagua hali ya huduma ya upatikanaji maji kata ya Mburahati wilayani humo huku akitoa maelekezo kufufuliwa kwa visima vinne katika Kata hiyo na wananchi waanze kupata huduma ya maji. “Leo tumeanza na kata ya Mburahati, tumepita katika visima vinne Kisiwani, Kwa Mrosso, CCM na…
Songea. Aliyekuwa Mbunge wa Peramiho (CCM), marehemu Jenista Mhagama, ametajwa kuwa zawadi ya Mungu kwa watu, hususan maskini, wasiojiweza na watu wenye ulemavu, kutokana na maisha yake ya kujitoa kwao bila kuchoka. Hayo yamesemwa leo, Jumapili, Desemba 14, 2025, kqtikq mahubiri yaliyotolewa na Padri Josephat Ngonyani wa Kanisa Katoliki Litapwasi, wakati wa ibada takatifu ya…
MKUU wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Awamu ya Nne, Mheshimiwa Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete, akiwasili katika Uwanja wa Ndege wa Bukoba mkoani Kagera leo tarehe 14 Desemba 2025. Dkt Kikwete amepokewa uwanjani hapo na Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolijia Profesa Adolf Faustine Mkenda na…
Na Saidi Lufune, Kilimanjaro NAIBU Waziri wa Maliasili na Utalii Mhe. Hamad Hassan Chande (Mb), amewataka wahitimu wa chuo cha Usimamizi wa Wanyamapori Mweka, kuzingatia uadilifu, uzalendo na unyenyekevu wakati wa kuhudumia wananchi na kulinda rasilimali za wanyamapori ili kuongeza thamani katika maendeleo ya ukuaji wa sekta ya utalii kwa manufaa ya jamii na taifa…