Ongezeko la watu laongeza uzalishaji bia, vinywaji
Dar es Salaam. Ongezeko la watu Tanzania limetajwa kuwa sababu ya kuongezeka kwa kwa uzalishaji bia na vinywaji baridi katika viwanda vya nchini kwa miaka mitano mfululizo. Bidhaa hizo mbili pia ndiyo zilizozalishwa kwa wingi na viwanda vya ndani katika mwaka 2024 kuliko bidhaa nyingine zilizotajwa kwa upande wa Tanzania Bara. Ripoti ya Statistical Abstract…