Bilioni 53 kujenga miradi 57 Manispaa Kigoma Ujiji
Kigoma. Zaidi ya Sh53 bilioni zimetarajiwa kutumika katika utekelezaji wa miradi mbalimbali ya kimkakati katika Halmashauri ya Manispaa ya Kigoma Ujiji. Hayo yamebainishwa leo, Desemba 14, 2025, na Mkurugenzi wa Halmashauri hiyo, Kisena Mabuba, wakati wa ziara ya waandishi wa habari ya kukagua baadhi ya miradi inayotekelezwa na manispaa hiyo. Amesema kuwa jumla ya miradi…