Jumapili ya Moto Ulaya: Milan, Inter, City na Real Madrid Vitani
Jumapili ya Moto Ulaya: Milan, Inter, City na Real Madrid Vitani – Global Publishers Home Michezo Jumapili ya Moto Ulaya: Milan, Inter, City na Real Madrid Vitani
Jumapili ya Moto Ulaya: Milan, Inter, City na Real Madrid Vitani – Global Publishers Home Michezo Jumapili ya Moto Ulaya: Milan, Inter, City na Real Madrid Vitani
Dar es Salaam. Mwaka 2025 sekta ya ajira imeendelea kuwa ajenda nzito ya kitaifa, ikibeba mjadala mpana miongoni mwa vijana na wadau wa maendeleo, huku ikigusa matumaini, changamoto na mwelekeo mpya wa uchumi wa Taifa. Licha ya uwekezaji unaoendelea na mipango mbalimbali ya Serikali, wadau wanaeleza kuwa mustakabali wa ajira kwa vijana utategemea zaidi ubunifu,…
Moshi. Chuo cha Usimamizi wa Wanyamapori Mweka kimepanga kuanzisha programu ya saikolojia katika utalii, itakayolenga kutambua na kuelewa kwa kina malengo, mitazamo na matarajio ya watalii wanaoingia nchini. Hatua hiyo inalenga kuimarisha utoaji wa huduma bora pamoja na kuboresha usimamizi endelevu wa sekta ya utalii na uhifadhi wa rasilimali za asili nchini. Hayo yamesemwa na…
Unguja. Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya Zanzibar (ZDCEA), imetaifisha nyumba nne za mtuhumiwa wa dawa za kulevya, Mohamed Omar Ali (44) zenye thamani ya Sh169 milioni. Kwa mujibu wa taarifa iliyotumwa kwenye vyombo vya habari leo Jumapili Desemba 14, 2025, Kamishna Mkuu wa Mamlaka hiyo, Kanali Burhani Zubeir Nassor amesema nyumba…
Mbarali. Halmashauri ya Wilaya ya Mbarali Mkoa wa Mbeya, inatarajia kutumia zaidi ya Sh1 bilioni kwa ajili ya kuboresha maeneo korofi ya miundombinu barabara za pembezoni . Katika hatua nyingine imeweka mikakati ya kutenga bajeti ya mapato ya ndani kwa mwaka huu wa fedha kwa lengo la kununua mtambo wa kisasa wa kuchonga na kuboresha…
Arusha. Urejeshaji wa mandhari ya kimazingira, ulinzi wa vyanzo vya maji, upanuzi wa uhifadhi wa wanyamapori unaoongozwa na jamii, pamoja na uwekezaji katika mifumo ya ikolojia ya kaboni ya buluu (blue carbon), ni miongoni mwa njia zilizotajwa na wadau katika kukabiliana na mabadiliko ya tabianchi kwenye sekta ya utalii. Njia hizo zimetajwa wakati Jukwaa la…
Machozi machache yaliyokuwa yamerudishwa nyuma, wengine hutoa tabasamu la neva, kila mmoja anafahamu kuwa wakati huo unaashiria mwanzo wa safari ya kubadilisha maisha mbali na nyumbani. “Sijawahi kuacha mji wa Guatemala, achilia mbali nchi yangu,” alisema Billy, mmoja wa washiriki. “Familia yangu inafurahi sana kwa sababu nitakuwa wa kwanza kati yetu kusafiri nje ya nchi.”…
Dar es Salaam. Nimekaa likizo ya uzazi ya miezi mitatu cha kushangaza baada ya kumaliza sitamani kufanya kazi, muda mwingi natamani nibaki nyumbani nicheze na mtoto wangu. Kila nikijitahidi nashindwa nahisi kabisa nitapoteza kazi. Nishauri nifanye nini ili niwe sawa nirudi kazini kama ilivyokuwa zamani. Baada ya likizo ya uzazi, wanawake wengi hupitia mabadiliko makubwa…
Mwanza. Ukatili dhidi ya wanawake unaendelea kuwa moja ya changamoto kubwa na sugu duniani, huku takwimu mpya za ripoti ya Shirika la Afya Duniani (WHO) na waathirika wake, zikionesha kuwa kwa miongo miwili jitihada za kukomesha tatizo hilo hazijazaa matunda ya kutosha. Kwa mujibu wa ripoti hiyo, karibu mwanamke mmoja kati ya watatu duniani, sawa…
Canada. Kuna kisa cha wenzetu ambacho kinaweza kugusa ndoa nyingi. Mke na mume walikuwa na ugomvi usiokwisha hadi kila mmoja akifikiria kuachana na mwenziwe kutokana na kuchoshwa na ugomvi. Katika harakati za kutaka kuokoa ndoa yao, wahusika walituamini na kutujia ili tuwape ushauri. Walikuwa wakweli kwetu katika kuelezea kadhia yao. Mume alikuwa na tabia ya…