Usisubiri! Mazda Wazindua CX‑50 Toleo la Kipekee – Angalia Maajabu Yake
Usisubiri! Mazda Wazindua CX‑50 Toleo la Kipekee – Angalia Maajabu Yake – Global Publishers Home Habari Usisubiri! Mazda Wazindua CX‑50 Toleo la Kipekee – Angalia Maajabu Yake
Usisubiri! Mazda Wazindua CX‑50 Toleo la Kipekee – Angalia Maajabu Yake – Global Publishers Home Habari Usisubiri! Mazda Wazindua CX‑50 Toleo la Kipekee – Angalia Maajabu Yake
Dar es Salaam. Bwana Yesu asifiwe. Karibu katika somo la mahubiri leo Jumapili. Hili ni somo litakalokufanya usimame vyema katika kumwabudu huyu Mungu wa kweli, anayesema, “Mimi Niko ambaye Niko” Yehova ndilo jina lake. Ninaitwa Hosea Gambo, mtumishi wa huyu Mungu ninapatikana Kanisa la HRCC TAG Haydom, Mbulu mkoani Manyara. 1 Fal 18:36-37 “Ikawa, wakati…
Dar es Salaam. Kadri shamrashamra za mwisho wa mwaka zinavyozidi kushika kasi, picha halisi ya namna vijana wanavyojitafutia kipato katika msimu wa sikukuu inaendelea kujitokeza, hususani maeneo ya mijini. Kutoka masoko yenye msongamano hadi matamasha makubwa ya burudani, vijana wamekuwa wakijipatia ajira za muda mfupi zinazoibuka Desemba kila mwaka. Kwa ujumla, ajira hizi za muda…
Akiongea na Habari za UN mbele ya Jukwaa la 11 la Ulimwenguni ya Alliance, ambayo inafunguliwa huko Riyadh, Saudi Arabia Jumapili, Miguel Ángel Moratinos aliwasihi vijana kila mahali kurudisha amani kama kipaumbele cha ulimwengu. Baadaye inategemea kizazi kipya kilicho tayari kuchagua mazungumzo juu ya mgawanyiko, na ubinadamu juu ya chuki, alisema. Lara Palmisano- Unife Miguel…
Mkuu wa Wilaya ya Mtwara, Mhe. Abdallah Mwaipaya, aliyemwakilisha Mkuu wa Mkoa wa Mtwara, amesema hayo wakati wa hafla ya kuhitimisha mbio za Utumishi Marathoni 2025 zilizoandaliwa na Chuo cha Utumishi wa Umma Tanzania Kampasi ya Mtwara. Akiwasilisha salamu za Mkuu wa Mkoa, Mhe. Mwaipaya amesema, “Historia ya Chuo cha Utumishi wa Umma ni sehemu…
Dodoma. Chuo cha Elimu ya Biashara (CBE) kinatarajia kutumia jumla ya Sh26.4 bilioni kwa ajili ya ujenzi wa hoteli katika eneo la zaidi ya ekari 15 walilopewa, kwa lengo la kuanzisha kampasi ya chuo hicho mkoani Kilimanjaro. Mbali na kujenga hoteli hiyo inayotarajiwa kuwa ya nyota tatu, chuo kitapata pia majengo ya mabweni, madarasa ya…
Na Mwandishi Wetu Chuo Kikuu cha Ardhi, Taasisi ya Ufundi ya Chongqing (CQVIE) kutoka nchini China, pamoja na Kampuni ya ujenzi ya Kichina nchini ya Group Six International Ltd, wamezindua Kampasi ya Chuo Kikuu cha Ardhi ili kuanzisha kituo cha Mafunzo ya Ustadi wa kitaalamu cha Kichina. Uzinduzi huo umefanyika mwishoni mwa Novemba mwaka huu…
Moshi. Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Profesa Adolf Mkenda, amesema taarifa za awali zinaonyesha mhadhiri wa Chuo Kikuu Dodoma (UDOM) alikamatwa kutokana na matendo aliyofanya nje ya chuo. Amesema hayo kutokana na taarifa iliyosambaa kwenye mitandao ya kijamii kuanzia jana Desemba 12, 2025 ikieleza mhadhiri wa UDOM amekamatwa chuoni akituhumiwa kwa uchochezi. Taarifa hiyo…
Dar es Salaam. Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila ameonya kuwa upungufu wa maji unaweza kusababisha mgogoro mkubwa kati ya wananchi na Serikali, hali inayoweza kuhatarisha utulivu wa kisiasa na usimamizi wa jiji hilo. Chalamila ametoa kauli hiyo leo Jumamosi, Desemba 13, 2025, wakati wa ziara yake ya kukagua uzalishaji wa maji…
Dodoma/Dar. Wakati mwili wa Mbunge wa Peramiho, Jenista Mhagama, ukiagwa mjini Dodoma, Bunge limetaja chanzo cha kifo chake huku Rais Samia Suluhu Hassan akieleza sababu za kumwita kiraka. Mbali na hayo, viongozi wa dini wamezungumzia kwa undani maisha yake ya kiroho, wakieleza namna alivyojitoa kulitumikia Kanisa. Mhagama aliyefariki dunia Desemba 11, 2025, mwili wake umeagwa…