Waziri Akwilapo awataka wahitimu kulinda amani, kukataa vurugu
Morogoro. Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Dk Leonard Akwilapo, amewataka wahitimu wa Chuo cha Ardhi Morogoro kujiepusha na vitendo viovu vinavyolenga kuharibu amani ya Taifa la Tanzania. Pia, amewataka wahitimu hao kuwa wazalendo kwa Taifa na kuepuka vitendo vya rushwa na ufisadi vinavyosababisha baadhi ya watu kukosa haki zao za msingi, hatua…