Simba, Yanga kukutana Mapinduzi Cup 2026, bingwa kulamba Sh150 milioni
KLABU nane zitashiriki Kombe la Mapinduzi 2026, baada ya msimu uliopita mashindano hayo kushirikisha timu za taifa na Zanzibar Heroes kuwa bingwa ilipoichapa Burkina Faso mabao 2-1, kwenye Uwanja wa Gombani, Pemba. Mashindano hayo yaliyopangwa kuanza Desemba 28, 2025 na kumaliza Januari 13, 2026 kwenye Uwanja wa New Amaan Complex uliopo Unguja, bingwa atakabidhiwa Sh150…