Bodaboda watano waliokufa kwa kugongwa na lori watambuliwa
Dodoma. Miili yote mitano ya madereva wa bodaboda waliofariki dunia kwa ajali ya kugongwa na lori lililofeli breki eneo la Dodoma Makulu na kuwaparamia wakiwa kijiweni imetambuliwa na kuchukuliwa na ndugu. Ajali hiyo ilitokea saa 2:30 usiku wa Desemba 11, 2025 wakiwa kwenye kijiwe chao cha Amani, wakisubiri wateja. Waliofariki wametambuliwa kuwa ni Ishadi Jaa…