Masauni achaguliwa Makamu wa Rais UNEA

Dodoma. Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais, Muungano na Mazingira, Hamad Masauni amechaguliwa kuwa makamu wa Rais wa Baraza la Mazingira la Umoja wa Mataifa (UNEA). Masauni amechaguliwa kushika nafasi hiyo katika mkutano wa saba wa baraza hilo, uliofanyika kwa muda wa wiki moja jijini Nairobi, Kenya. Mbali na Masauni, baraza hilo pia…

Read More

SERIKALI YAJA NA MIKAKATI KUPUNGUZA FOLENI YA MALORI TUNDUMA

 :::::: Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega ameagiza Wakala wa Barabara (TANROADS), kufanya tathmini ya kutanua barabara katika  mpaka wa Tunduma unaopitisha magari yaendayo nchi jirani za Zambia na DR Congo ili kupunguza msongamano wa magari katika eneo hilo. Ulega ametoa agizo hilo akiwa Tunduma mkoani Songwe na kueleza kuwa Serikali inatambua changamoto wanayopitia wasafirishaji na…

Read More

Ubunge wa Spika Zungu wapingwa kortini

Dar es Salaam. Aliyekuwa mgombea ubunge jimbo la Ilala katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025 kupitia Chama cha ACT-Wazalendo, Friday Yachitwi, amefungua shauri la uchaguzi akipinga ushindi wa Mussa Azan Zungu wa Chama cha Mapinduzi (CCM). Baadhi ya malalamiko yake ni madai ya kukithiri kwa wizi wa kura na upigaji wa kura bandia, kiasi…

Read More

Wanane wateketea kwa moto ajali ya lori la mafuta Cameroon

Cameroon. Watu wanane wamefariki dunia kutokana na moto uliolipuka baada ya lori la mafuta kufeli breki kwenye mteremko katika Jiji la Douala nchini Cameroon. Maofisa wa kikosi cha Zimamoto walilazimika kuzima moto kwa siku nzima jana Ijumaa Desemba 12, 2025 kutokana na kuongezeka kwa kasi kutokea kwenye lori hilo ambalo lilikuwa limebeba zaidi ya lita…

Read More

Amani huteleza kama mapigano mashariki mwa Dr Kongo huinua hofu ya vita vya kikanda – maswala ya ulimwengu

Kukera mpya na Alliance Fleuve Kongo/Mouvement du 23 Mars . Mapigano mapya yamesababisha majeruhi wa raia, kuharibu miundombinu na kuwafukuza mamia ya maelfu kutoka nyumba zao, kulingana na maafisa wa Umoja wa Mataifa na vikundi vya kibinadamu. UN na Baraza la Usalama wameelezea mara kwa mara wanamgambo wengi wa Wa-Tutsi M23 kama inavyoungwa mkono na…

Read More