MNUAT Yatangaza Ajira Mpya 54, Mwisho wa Maombi Disemba 21, 2025
MNUAT Yatangaza Ajira Mpya 54, Mwisho wa Maombi Disemba 21, 2025 – Global Publishers Home Habari MNUAT Yatangaza Ajira Mpya 54, Mwisho wa Maombi Disemba 21, 2025
MNUAT Yatangaza Ajira Mpya 54, Mwisho wa Maombi Disemba 21, 2025 – Global Publishers Home Habari MNUAT Yatangaza Ajira Mpya 54, Mwisho wa Maombi Disemba 21, 2025
Mwili wa Marehemu Jenista Mhagama Ulivyowasili Nyumbani Itega, Dodoma – Global Publishers Home Habari Mwili wa Marehemu Jenista Mhagama Ulivyowasili Nyumbani Itega, Dodoma
Kocha wa Algeria Bougherra Atangaza Kujiuzulu, Siku 8 Kabla ya AFCON – Global Publishers Home Michezo Kocha wa Algeria Bougherra Atangaza Kujiuzulu, Siku 8 Kabla ya AFCON
Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Dkt Leonard Akwilapo amewaasa wahitimu wa Chuo cha Ardhi Morogoro (ARIMO) kujiepusha na matendo maovu na elimu na maarifa waliyopata yawe tunu na faida kwa Taifa. Mhe. Dkt Akwilapo ametoa wito huo tarehe 12 Desemba 2025 wakati wa mahafali ya 44 ya Chuo cha Ardhi Morogoro…
KAMISHNA wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Yusuph Mwenda, ametoa wito kwa wafanyabiashara pamoja na washauri wa walipakodi kuimarisha maadili, uaminifu na weledi katika utoaji wa huduma zao, ili kujenga mazingira salama, shindani na yenye utii wa kodi kwa manufaa ya uchumi wa taifa. Hayo ameyasema leo Desemba 12, 2025 wakati akizungumza katika kikao maalum…
Meneja Mkuu wa Shirika la Masoko ya Kariakoo, CPA. Ashiraf Abdulkarim,akizungumza wakati wa ufunguzi wa mafunzo ya uchambuzi na uandaaji wa mpango Mkakati mpya wa miaka mitano 2026-2031 wa Shirika la Masoko ya Kariakoo. …. Shirika la Masoko ya Kariakoo limeanza rasmi maandalizi ya Mpango Mkakati mpya wa miaka mitano 2026-2031, hatua inayolenga kulifanya…
Fahamu Maajabu ya Toyota Prius na Namna Inavyotumia Teknolojia ya Umeme (EV Mode) – Video – Global Publishers Home Global TV Online Fahamu Maajabu ya Toyota Prius na Namna Inavyotumia Teknolojia ya Umeme (EV Mode) – Video …
Katika mahojiano na Habari za UNBwana Mohamed Al Hassan, Mwakilishi Maalum wa Katibu Mkuu (SRSG) na Unami Mkuu, alisema mwisho wa misheni unaonyesha jinsi Iraqi imefika mbali tangu ilipowekwa mnamo 2003, wakati nchi hiyo iliibuka kutoka miongo kadhaa ya udikteta, vita vya mkoa na ugaidi uliofanywa na ISIL – unaojulikana zaidi katika Mashariki ya Kati…
Mkuu wa Mitihani Korea Ajiuzulu Baada ya Kutunga Mtihani ‘Mgumu’ – Global Publishers Home Habari Mkuu wa Mitihani Korea Ajiuzulu Baada ya Kutunga Mtihani ‘Mgumu’
KAMA wewe ni shabiki na mpenzi wa Simba uliyekuwa ukitamani kusikia au kuona Kocha Seleman Matola anapigwa chini Msimbazi, basi pole yako, kwani sasa ni rasmi chuma hichi kimebaki. Hii ni kwa sababu mabosi wa klabu hiyo wameamua kwa kauli moja kumbakisha mwamba huyo kama kocha msaidizi nafasi anayoishikilia tangu mwaka 2019 alipotua Msimbazi akitokea…