TCB YAZINDUA KAMPENI YA MSIMU WA SIKUKUU, YATOA REJESHO LA 10% KWA WATEJA WA POPOTE VISA
Benki ya Biashara Tanzania (TCB) imezindua Kampeni Kabambe ya Msimu wa Sikukuu yenye lengo la kuwazawadia wateja wanaotumia kadi ya Popote Visa kufanya malipo, ambapo wateja watapata rejesho la asilimia 10 kwa kila muamala utakaokidhi vigezo vilivyowekwa na benki. Akizungumza jijini Dar es Salaam wakati wa uzinduzi huo, Mkurugenzi wa Masoko na Uhusiano wa Umma…