Raheem aingia anga za Azam FC
MATAJIRI wa Jiji la Dar es Salaam, Azam FC wamefungua mazungumzo na klabu ya Ghazl El Mahalla ya Misri ili kuipata saini ya beki wa kushoto wa kikosi hicho, Mtanzania Raheem Shomary kwa mkopo baada ya nyota huyo kushindwa kuwika katika Ligi ya Misri. Nyota huyo aliyejiunga na El Mahalla, Julai 14, 2025 na kusaini…