NGORONGORO YAENDELEA KUJENGA UWEZO WA UTENDAJI KAZI KWA WATUMISHI WAKE.
Na Mwandishi wetu. Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro imeendelea kuwajengea uwezo watumishi wake kwa kuwapa mafunzo ya namna bora ya kusimamia masuala ya Itifaki na kuhudumia wageni mbalimbali wanaotembelea hifadhi hiyo. Akifungua mafunzo kwa Maafisa Uhusiano kwa Umma wa Mamlaka hiyo jijini Mwanza Mshauri wa Jeshi la Uhifadhi Ngorongoro Kanali Fikiri Machibya ameeleza kuwa ni…