Sababu vifo vya mapema kwa wanaoishi na VVU
Kwa mujibu wa takwimu za mwaka 2024 za Shirika la Afya Duniani (WHO), takribani watu milioni 40.8 walikuwa wakiishi na VVU duniani na watu 630,000 walikufa kutokana na magonjwa yanayohusiana na Ukimwi. Eneo la Afrika ndio ambalo limeathiriwa zaidi, likichangia theluthi mbili ya watu wote wanaoishi na VVU duniani. Hasa nchi za kusini mwa jangwa…