VODACOMA TANZANIA YAFIKA SOKO LA MACHINGA DODOMA NA KUTOA ZAWADI ZA MAKAPU KWA WATEJA WAKE
Katika muendelezo wa kusambaza Kapu la Vodacom kwenye maeneo mbalimbali nchini, timu ya Vodacom Tanzania Plc imefika Soko la Machinga Dodoma na kuwapatia wateja wake zawadi za makapu yaliyo sheheni vitu lukuki. Zoezi hili linaendeleza utoaji wa makapu ambao tayari umefanyika katika mikoa ya mbalimbali hapa nchini. Hatua hii inaonyesha utayari wa Vodacom kurudisha shukrani…