Kivumbi kesho, daraja la kwanza Ligi ya Kikapu Dar
KESHO ni vita katika mchezo wa Ligi ya Kikapu Mkoa wa Dar es Salaam kati ya timu ya Veins BC na Dar Kings. Mchezo huo unaosubiriwa kwa hamu na wapenzi wa kikapu mkoa wa Dar es Salaam utafanyika kwenye Uwanja wa Don Bosco, Upanga. Akiongea na Mwanasposti kwenye viwanja vya Spide, kocha wa timu ya…