Kocha Dar City ajivunia mafanikio NBL 2025
BAADA ya timu ya Dar City kutwaa ubingwa wa Ligi ya Taifa ya Mpira wa Kikapu (NBL) 2025, kocha wa timu hiyo Mohamed Mbwana amesema amepitia mengi katika maisha yake lakini anajivunia mafanikio aliyoyapata akiwa na timu hiyo. Mbwana ambaye pia ni kocha wa timu ya taifa ya Tanzania, amesema alianza kufundisha timu ya Dar…