Wapinzani wa Yanga waanza kwa sare Mapinduzi Cup 2026
TIMU za KVZ na TRA United zilizopo Kundi C la michuano ya Kombe la Mapinduzi 2026 ambalo pia linaijumuisha Yanga, zimetoshana nguvu kwa kutoka sare ya bao 1-1. Mechi hiyo iliyochezwa leo Desemba 29, 2025 kwenye Uwanja wa New Amaan Complex kisiwani hapa, ilionekana kuwa ya mashambulizi ya kushtukiza kila upande, huku kipindi cha kwanza…