Mwekezaji Mtanzania aula mradi wa Sh2.2 trilioni Zambia
Zambia. Amsons Group, moja ya makampuni makubwa ya nishati na viwanda kutoka Tanzania, imetangaza ushirikiano mkubwa wa kimkakati na kampuni ya Exergy Africa Limited ya Zambia kwa ajili ya kuendeleza kwa pamoja miradi mipya ya uzalishaji umeme yenye jumla ya megawati 1,300. Mradi huo wenye thamani ya Dola za Marekani 900 milioni (Sh2.2trilioni) utahusisha MW…