Ibenge achekelea rekodi mpya kwa Simba
SIMBA bado wanalaumiana kufuatia kipigo cha mabao 2-0 kutoka kwa Azam FC, huku wenzao wanacheka tu na kumfanya kocha Florent Ibenge achekelee kubadilisha mzimu wa matokeo mabaya dhidi ya Wekundu hao. Iko hivi. Ibenge hajawahi kuifunga Simba ikiwa Tanzania tangu aanze ukocha katika mechi za mashindano walizokutana. Rekodi zinaonyesha, Ibenge amewahi kukutana na Simba mara…