Chadema ilivyopita katika tanuri la moto

Mwaka 2025 umekuwa mgumu kwa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kutokana na mashambulizi makali ya ndani na nje kilichoyapata, jambo ambalo wachambuzi wa siasa wanaeleza kuwa wamepitishwa kwenye “tanuri la moto”. Tofauti na vyama vingine vya upinzani, Chadema kimejipambanua kama chama kikuu cha upinzani ambacho kina uwezo wa kutoa ushindani mkubwa dhidi ya Chama…

Read More

FEDHA ZA CSR ZA BARRICK NORTH ZAENDELEA KUWEZESHA WANANCHI KUPATA HUDUMA BORA ZA AFYA WILAYANI TARIME

  Mgeni rasmi akikata utepea kuashiria uzinduzi wa zahanati hiyo -Zahanati mpya yazinduliwa katika kijiji cha Mangucha Wananchi kutoka Mangucha moja ya kijiji kilichopo jirani na mgodi wa dhahabu wa North Mara wilayani Tarime walionekana kuwa na nyuso za furaha na matumaini ya kuondokana na changamoto ya kutembea mwendo mrefu kufuata huduma za afya katika…

Read More

KONA YA MALOTO: Tanzania inamhitaji Mungu

Yupo mtu, kwa kutafsiri kichwa cha makala, anaweza kuuliza: “Lini Watanzania hawakumhitaji Mungu zaidi?” Jawabu ni kwamba hiyo ni lugha ya picha, kujenga tafsiri kuwa muktadha ulio mbele unazidi uwezo wa kawaida wa binadamu. Mbona ni mengi huambizana kuwa “yapo juu ya uwezo wetu?” Basi ndivyo ilivyo. Mungu anahitajika wakati wote, ila zipo nyakati huhitajika…

Read More

NIKWAMBIE MAMA: Wazee, vijana tuongee lugha moja

Waafrika tumepokea tamaduni za nje kwa namna mbalimbali. Wakati wa utumwa hali ilikuwa mbaya zaidi kwa sababu hakukuwa na namna. Watu walilazimishwa kukubali au kuuawa. Afadhali kidogo wakati wa ukoloni ambapo aliyekubali kubadilika alichukuliwa kuwa bora zaidi ya yule aliyebisha. Namna zingine zilizoathiri utamaduni wetu ni biashara na utandawazi. Lakini hizi zilikuwa na hiyari ya…

Read More

Jinsi Redio ya Jamii Inavyoweza Kuimarisha Ustahimilivu wa Hali ya Hewa ya Tanzania – Maswala ya Ulimwenguni

Amina Mohamed na Hassan Vuai Saburi, watangazaji wa redio ya jamii kwa kituo cha redio cha Kati huko Zanzibar, wanawasilisha mpango wa asubuhi wa kuangazia jamii juu ya umuhimu wa kulinda mazingira ya pwani. Mikopo: Kizito Makoye/IPS na Kizito Makoye (Dar es Salaam, Tanzania) Jumatano, Desemba 10, 2025 Huduma ya waandishi wa habari DAR ES…

Read More