Polisi Tanzania yawaonya tena wanaopanga maandamano

Dar es Salaam. Jeshi la Polisi Tanzania, limewaonya kwa mara nyingine watu wanaopanga maandamano ya amani yasiyokuwa na kikomo, yaliyopigwa marufuku baada ya kukosa sifa za kisheria kufanyika kwa mujibu wa Katiba. Maandamano hayo yaliyopangwa kuanza kufanyika jana Jumanne Desemba 9,2025 katika maeneo mbalimbali nchini, lakini yalishindikana baada ya polisi na vyombo vingine vya ulinzi…

Read More

Pacome, Doumbia wapewa siku saba Jangwani

HADI sasa kuna timu mbili tu zimesalia hazijapoteza mechi hata moja katika Ligi Kuu Bara ambazo ni Azam na Yanga, lakini kocha wa watetezi wa Ligi hiyi, Yanga kuna maagizo ameyatoa kwa mastaa wa kikosi hicho. Kocha Pedro Goncalves amekutana na wachezaji akawapongeza kwa ukomavu mkubwa waliouonyesha katika mechi sita wakishinda nne na kutoa sare…

Read More