Mangalo alivyorejea akiibeba Pamba | Mwanaspoti

BAADA ya kukosekana uwanjani kwa msimu mmoja, beki wa kati wa Pamba Jiji, Abdulmajid Mangalo ameonekana kurejea kwa kasi mpya uwanjani akiisaidia timu hiyo kuvuna pointi 12, huku akitoa mwelekeo wa chama hilo katika Ligi Kuu Bara. Mangalo aliyewahi kutesa na timu kadhaa ikiwamo Biashara United na Singida Black Stars, alijikuta nje ya uwanja kufuatia…

Read More

Maxime anatua na wawili Mbeya City

MBEYA City imeshamtambulisha Mecky Maxime kuwa kocha mkuu ili kuanza kazi ya kuirudishia makali timu hiyo, lakini  ametua na wawili. Maxime anachukua nafasi ya Malale Hamsini ambaye licha ya kuanza msimu vizuri, lakini ghafla mambo yalibadilika na pande hizo mbili kukubaliana kuachana. Taarifa za ndani kutoka Mbeya City zimelidokeza Mwanaspoti kwamba, Maxime anaweza kuanza kazi…

Read More

Mgunda: Sawa tumejipata, lakini kazi ipo

KOCHA Mkuu wa Namungo, Juma Mgunda amesema pamoja na nyota wake kumpa matumaini ya kufanya vizuri katika Ligi Kuu Bara msimu huu, lakini amedai kukutana ugumu akiahidi kutumia mapumziko ya kupisha michuano ya Afcon 2025 ili kukiboresha zaidi kikosi hicho. Pia, amesema yaliyotokea msimu uliopita kwa timu hiyo kuponea chupuchupu kushuka daraja hawatarajii yajirudie, akiwashukuru…

Read More

POLISI YAONYA WANAOENDELEA KUHAMASISHA MAANDAMANO

::::::: Jeshi la Polisi nchini Tanzania kwa kushirikiana na Vyombo vingine vya ulinzi na usalama nchini wamewahakikishia wananchi kuwa wataendelea kulinda usalama wa Tanzania sambamba na maisha na mali za wananchi ili waweze kuendelea na shughuli zao kwa amani, utulivu na usalama. Taarifa iliyotolewa na Msemaji wa Jeshi la Polisi Makao Makuu, Naibu Kamishna wa…

Read More

Kutoka kwa mabegi hadi kutengeneza chumvi, UNESCO inaheshimu utamaduni ulio hatarini uliopitishwa kupitia vizazi-maswala ya ulimwengu

Tofauti na makaburi au tovuti za kihistoria, “urithi wa kitamaduni usioonekana” unamaanisha mazoea ya kuishi – mila, ustadi, mila, muziki, ufundi na mila ya kijamii ambayo jamii hupitia kutoka kizazi kimoja hadi kingine. Kupitia orodha zake, shirika la elimu la UN, shirika la kisayansi na kitamaduni (UNESCO) inafanya kazi na serikali na jamii kukuza mila…

Read More