Kesi ya ‘vigogo wa Kigamboni’ wanaodai kuchepusha fedha za Tamisemi, kuunguruma Januari 13

Dar es Salaam. Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, imepanga Januari 13, 2026 kuanza kusikiliza ushahidi wa upande w Jamhuri katika kesi ya kuchepusha fedha na kuisababishia Wizara ya Tamisemi hasara ya Sh165 milioni, inayowakabili washtakiwa 13, wakiwemo wakuu wa idara wa manispaa ya Kigamboni. Hatua hiyo inatokana na upelelezi wa kesi hiyo kukamilika na washtakiwa…

Read More

SEKTA YA BIMA NI MUHIMU KIUCHUMI NA KIJAMII

aziri Fedha, Mhe. Balozi Khamis Mussa Omar (Mb) (katikati) akiwa katika picha ya pamoja na Kamishna wa Bima Tanzania, Dkt. Baghayo Saqware (wapili kushoto), baada ya kukutana na kufanya mazungumzo katika Ofisi Ndogo za Wizara ya Fedha, jijini Dar es Salaam, ambapo walijadiliana kuhusu masuala mbalimbali ya maendeleo na mustakabali wa sekta ya bima nchini…

Read More

Jiji la Dodoma lawabana wadaiwa wa viwanja, lawapa siku 21 kulipa

Dodoma. Halmashauri ya Jiji la Dodoma imewataka wamiliki wa viwanja 6,560 vilivyoko maeneo ya Mtumba na Kikombo kulipia viwanja vyao ndani ya siku 21, ikisisitiza kuwa kushindwa kufanya hivyo kutasababisha viwanja hivyo kuhamishiwa kwa watu wengine wenye uhitaji. Halmashauri imesema kushindwa kulipia viwanja hivyo kunakwaza utekelezaji wa bajeti yake ya utoaji wa huduma kwa wananchi,…

Read More

Wafugaji walia uhaba wa soko la mkojo wa sungura

Mbeya. Wanawake wanaojishughulisha na ufugaji wa sungura katika Kata ya Bonde la Songwe, Wilaya ya Mbeya, wameiomba Serikali na wadau kuwasaidia kupata soko la uhakika la  sungura na mkojo wake  ili waweze kujikwamua kiuchumi. Wamesema mkojo wa sungura, ambao umetajwa kama njia ya kudhibiti wadudu waharibifu wa mazao, hususan mboga ukipatiwa soko la uhakika utawakwamua…

Read More

Uchaguzi mdogo jimbo la Fuoni kesho bila ACT – Wazalendo

Unguja. Uchaguzi mdogo wa ubunge katika Jimbo la Fuoni, Mkoa wa Mjini Magharibi Zanzibar, unafanyika kesho, Jumanne Desemba 30, 2025, kufuatia kifo cha aliyekuwa mgombea wa jimbo hilo kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), Abbas Ali Mwinyi. Abbas Mwinyi, kaka yake mkubwa Rais wa Zanzibar, Dk Hussein Mwinyi, alifariki dunia Septemba 25, 2025, alipokuwa akipatiwa matibabu…

Read More

Mapromota, TPBRC watofautiana katiba mpya

MCHAKATO wa mabadiliko ya Katiba Mpya ya Kamisheni ya Ngumi za Kulipwa nchini (TPBRC) umeingia ‘mdudu’ baada ya Chama cha Mapromota wa mchezo huo (TAPBPA) kusema hakijafurahishwa na kilichofanyika na kuandika barua kulalamikia hilo nakala zikienda Baraza la Michezo (BMT) na Msajili wa Vyama na Klabu. Mwenyekiti wa TAPBPA, Evarist ‘Mopao’ Ernest ameyasema hayo jana…

Read More

Soraga awataka vijana waepuke kuvuruga amani

Unguja. Waziri wa Mawasiliano, Teknolojia, Habari na Ubunifu Zanzibar, Mudrik Ramadhan Soraga, amesema kuna wimbi la wapinga maendeleo linalowatumia vijana kuvuruga amani kwa kisingizio cha kupinga uchaguzi uliofanyika Oktoba 29, 2025. Soraga ametoa kauli hiyo leo Jumatatu, Desemba 29, 2025, wakati akihutubia katika kongamano la kitaifa la vijana, ikiwa ni kuelekea maadhimisho ya miaka 62…

Read More