Kocha mpya ashikilia hatma ya Matola
WAKATI Azam FC ikiendelea kuchekelea ushindi wa mabao 2-0 iliyopata katika mechi ya Dabi ya Mzizima dhidi ya Simba, upande mwingine ni maumivu kwa Simba hususani kocha wa muda Seleman Matola. Matokeo hayo ni kama yamemtibulia dili kocha huyo mzawa, aliyekuwa akitajwa kama anayefaa sasa kuachiwa jumla timu hiyo, kwani kwa sasa hatma ya kusalia…