Huko UN, OSCE anaonya juu ya mmomonyoko wa kanuni za usalama huku kukiwa na migogoro ya Ukraine – maswala ya ulimwengu

Akihutubia mabalozi, Waziri wa Mambo ya nje wa Ufini Elina Valtonen, ambaye kwa sasa anakaa mataifa 57, alielezea mzozo huo kama changamoto ya usalama kwa usalama wa Ulaya katika miongo kadhaa na kushambuliwa moja kwa moja kwa misingi ya Agizo la Kimataifa linalotegemea sheria. “Vita vya Urusi vya uchokozi dhidi ya Ukraine ni vita kubwa…

Read More

Wasanii kikapu ni mchezo wao

NI swali ambalo baadhi ya watu wamekuwa wakijuliza sababu zinazowafanya wasanii wa muziki, waigizaji na wanamitindo kupenda mchezo wa kikapu. Jibu lilikuwa halipatikani ikizingatiwa kuna michezo mingine kama soka, kriketi, tenisi, vinyoya na magongo ambayo hushindwa kwenda kuangalia ikichezwa viwanjani. Lakini, mbali na kupenda mchezo huo, wasanii hao wamekuwa pia wakionekana katika viwanja vya mpira…

Read More

Hali ilivyo mitaani leo Siku ya Uhuru

Dar/mkoani. Watanzania mwaka huu wamesherehekea maadhimisho ya miaka 64 ya Uhuru wa Tanganyika wakiwa majumbani pamoja na familia zao, hali ambayo ni tofauti na desturi ya wengi kutumia siku hiyo kupumzika kwenye maeneo ya burudani au kushiriki matukio ya hadhara. Mabadiliko hayo yalichochewa na taarifa za kuwepo maandamano yasiyo na ukomo ikiwa ni mwendelezo wa…

Read More

Wanawake 22 wapandikizwa mimba Muhimbili

Dar es Salaam. Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) imesema jumla ya wanawake 22 wapo katika hatua mbalimbali za upandikizaji mimba Vitro Fertilization (IVF) hospitalini hapo. Hatua hiyo inakuja miezi 16 ikiwa imetimia, tangu Muhimbili kuanzisha rasmi kitengo cha upandikizaji mimba. Kwa mara ya kwanza, Muhimbili ilianza upandikizaji wa vijusi kwenye tumbo la mama wiki ya…

Read More

Abiria 40 wanusurika, basi likiteketea kwa moto Morogoro

Morogoro. Abiria 40 wamenusurika baada ya basi walilokuwa wakisafiria kutoka Dar es Salaam kwenda wilayani Malinyi mkoani Morogoro kuteketea kwa moto katika eneo la Maseyu mkoani hapa. Tukio hilo limetokea leo asubuhi, Desemba 9, 2025, katika kona kali ya Maseyu, Kata ya Gwata ambapo basi hilo aina ya Tata lilianza kuwaka moto na kuungua lote huku…

Read More

Mshtakiwa wa dawa za kulevya alivyotoroka Bandari ya Dar

Dara es Salaam. Mkuu wa Kitengo cha Uhalifu Mtandaoni kutoka Jeshi la Polisi Mkoa wa Shinyanga, Andrew Malulu, ameieleza mahakama namna alivyomkamata Kulwa Mathias (32), anayedaiwa kusafirisha bangi kutoka Tabora kwenda Zanzibar kwa kutumia boti. Mathias alikamatwa katika Kijiji cha Solwa, wilayani Shinyanga Vijiji. Alikuwa mashineni akikoboa mpunga akarejeshwa Dar es Salaam anakodaiwa kutenda kosa…

Read More

Upungufu wa wataalamu, vitendeakazi changaoto Wizara ya Kilimo

Unguja. Wakati Wizara ya Kilimo, Umwagiliaji, Maliasili na Mifugo Zanzibar ikiendelea na ziara Pemba, imebaini inakabiliwa na changamoto ya wataalamu wa kilimo na vitendeakazi. Kutokana na hilo, wizara imeahidi kutafuta njia bunifu za kutumia ili kusaidiana na wataalamu na vitendeakazi vilivyopo kwa lengo la kuongeza ufanisi bila kuongeza gharama. Hayo yameelezwa leo Jumanne Desemba 9,…

Read More